Álava au (Kieuskera) Araba au Álava-Araba ni moja ya mikoa 52 ya kujitawala ya Hispania.

Mkoa wa Álava

Bendera

Nembo
Nchi Bendera ya Hispania Hispania
Jimbo Nchi ya Kieuskara
Mji mkuu Vitoria
Eneo
 - Jumla 2,963 km²
Tovuti:  http://www.alava.net/
Elciego, Álava

Idadi ya wakazi wake ni takriban 313,819.

Mji wake mkuu ni Vitoria.

Tazama pia hariri

Viungo vya nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu maeneo ya Hispania bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Álava kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.