Mei - Juni - Jul
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30
Kalenda ya Gregori

Tarehe 17 Juni ni siku ya 168 ya mwaka (ya 169 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 197.

Matukio hariri

  • 1789 - wawakilishi wa tabaka la tatu katika bunge la Ufaransa wanajitangaza kuwa "bunge la kitaifa", mwanzo wa Mapinduzi ya Ufaransa

Waliozaliwa hariri

Waliofariki hariri

Sikukuu hariri

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Blasto na Diogene, Isauri, Inosenti na wenzao, Nikandro na Marsiano, Antidi wa Besancon, Ipasi wa Bitinia, Hervei, Aviti wa Orleans, Ranieri wa Pisa, Teresa wa Ureno, Petro Da n.k.

Viungo vya nje hariri

 
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 17 Juni kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.