Nov - Desemba - Jan
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30 31
Kalenda ya Gregori

Tarehe 29 Desemba ni siku ya 363 ya mwaka (ya 364 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 2.

Matukio hariri

Waliozaliwa hariri

Waliofariki hariri

Sikukuu hariri

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Thomas Becket, Mfalme Daudi, Trofimo wa Arles, Liboso wa Beja, Martiniani wa Milano, Marselo wa Konstantinopoli, Ebrolfi, Benedikta Hyon Kyong-nyon na wenzake n.k.

Viungo vya nje hariri

 
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 29 Desemba kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.