Feb - Machi - Apr
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30 31
Kalenda ya Gregori

Tarehe 3 Machi ni siku ya 62 ya mwaka (ya 63 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 303.

Matukio hariri

Waliozaliwa hariri

Waliofariki hariri

Sikukuu hariri

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Marinus na Asteri, Emeteri na Seledoni, Kleoniki na Eutropi, Tisyano wa Brescia, Gwenole, Artelaide, Anselmo wa Nonantola, Kunegunda wa Luxemburg, Teresa Eustoki Verzeri, Katharine Drexel n.k.

Viungo vya nje hariri

 
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 3 Machi kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.