Aaron Ciechanover (amezaliwa 1 Oktoba 1947) ni mwanabiolojia kutoka nchi ya Israel. Hasa alichunguza kuyeyusha kwa protini. Mwaka wa 2004, pamoja na Avram Hershko na Irwin Rose alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Aaron Ciechanover
Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Aaron Ciechanover kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.