Abdelilah Bagui (Kiarabu: عبد الإله باغي‎; alizaliwa 17 Februari 1978) ni Nyota wa soka wa Moroko ila kwa sasa amestaafu soka.

Abdelillah Bagui
Senior career*
MiakaTimuApps(Gls)
1996–2003Maghreb de Fès
2003Spartak Moscow6(0)
2004Raja CA
2005–2006Rostov20(0)
2007–2008Maghreb de Fès
2008–2010Kawkab Marrakech22(0)
2010–2011CRA
2011–2013Olympic Safi12(0)
2013KAC Kénitra3(0)
Timu ya Taifa ya Kandanda
1999–2008Morocco15(0)
* Senior club appearances and goals counted for the domestic league only.
† Appearances (Goals).

Bagui alicheza katika klabu ya FC Spartak Moscow na FC Rostov katika Ligi Kuu ya Urusi.[1]

Takwimu za kazi hariri

Kimataifa hariri

Morocco
Mwaka Mechi Mabao
2001 4 0
2002 6 0
2003 3 0
2004 0 0
2005 1 0
2006 0 0
2007 0 0
2008 1 0
Jumla 15 0

Takwimu sahihi hadi mechi iliyopigwa tarehe 12 Januari 2008[2]

Marejeo hariri

  1. Kigezo:Sportbox.ru
  2. Abdelilah Bagui at National-Football-Teams.com

Viungo vya Nje hariri

  • Profaili kwenye kawkabi.com [1]
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Abdelillah Bagui kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.