Abrahamu wa Faiyum

Abrahamu wa Faiyum (182910 Juni 1914) alikuwa mmonaki, halafu askofu wa Faiyum na Giza, maarufu kama Rafiki wa fukara[1][2].

Picha takatifu ya askofu Abrahamu.

Mwaka 1964, Sinodi ya Kanisa la Kikopti ilimtangaza mtakatifu.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. "Lives of Saints :: Paona 3". www.copticchurch.net. Iliwekwa mnamo 2018-03-14. 
  2. https://www.santiebeati.it/dettaglio/98841

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.