Achraf Hakimi

Mchezaji wa soka wa Moroko wa mpira miguu (alizaliwa 1998)

Achraf Hakimi Mouh (anajulikana kama Achraf; alizaliwa Madrid, Hispania, 4 Novemba 1998 [1][2]) ni mchezaji wa soka wa Moroko ambaye anacheza kama beki wa kati kwenye klabu ya Ufaransa inayoitwa Paris Saint-Germain na timu ya taifa ya Moroko.

Achraf Hakimi
binadamu
Jinsiamume Hariri
Nchi ya uraiaHispania, Moroko Hariri
Nchi anayoitumikiaMoroko Hariri
Jina katika lugha mamaAchraf Hakimi Hariri
Jina la kuzaliwaAchraf Hakimi Hariri
Jina halisiAchraf Hariri
Jina la familiaHakimi Hariri
Tarehe ya Kuzaliwa4 Novemba 1998 Hariri
Mahali alipozaliwaMadrid Hariri
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihiKihispania, Moroccan Darija, Kifaransa, Kiingereza Hariri
Kaziassociation football player Hariri
Nafasi anayocheza kwenye timufull-back, Kiungo Hariri
Muda wa kazi2016 Hariri
Mwanachama wa timu ya michezoParis Saint Germain F.C. Hariri
DiniUislamu Hariri
MchezoMpira wa miguu Hariri
AmeshirikiKombe la Dunia la FIFA 2018, 2019 Africa Cup of Nations, Kombe la Mataifa ya Afrika 2021, 2018 FIFA World Cup qualification, 2022 FIFA World Cup qualification (CAF) Hariri
Tuzo iliyopokelewaOfficer of the Order of the Throne Hariri

Achraf Hakimi ndiye mchezaji aliyepiga penati ya mwisho na kuisaidia timu yake ya Moroko kutinga hatua ya robo fainali baada ya kuitoa Hispania huko Qatar mnamo 6 Desemba, 2022.

Marejeo hariri

  1. "Achraf Hakimi". Paris Saint-Germain F.C. Iliwekwa mnamo 6 August 2022.  Check date values in: |accessdate= (help)
  2. "FIFA Club World Cup UAE 2017: List of players: Real Madrid CF". FIFA. 16 December 2017. uk. 5. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 23 December 2017. Iliwekwa mnamo 24 December 2017.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help); More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); Check date values in: |date=, |archivedate=, |accessdate= (help)
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Achraf Hakimi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.