Adam Kighoma Malima
(Elekezwa kutoka Adam Kighoma Ali Malima)
Adam Kighoma Malima (amezaliwa tar. 26 Juni 1966) ni mbunge wa jimbo la Mkuranga katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.
Tazama pia hariri
Marejeo hariri
- ↑ "Mengi kuhusu Adam Kighoma Malima". 21 Julai 2006. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-20. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.
Viungo vya nnje hariri
- Tovuti ya Bunge la Tanzania
Makala hiyo kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |