Ade Adekola (alizaliwa nchini Nigeria, 3 Machi 1966) ni msanii mwenye fani nyingi kama kupiha picha, mchoraji, msanii wa nguo, msanii wa digitali, na mwandishi. [1][2][3] Anaishi Lagos. [4]

Amezaliwa 3 Machi 1966
Lagos
Nchi Nigeria
Kazi yake Mchoraji na Mpiga Picha

Ade Adekola alihitimu Shahada ya Usanifu mwaka wa 1992 kutoka Shule ya Usanifu huko London, na kupata mafunzo katika Chuo Kikuu cha Manchester kabla. [5] [6]

Viungo vya nje hariri

Marejeo hariri

  1. Dickson (2018-10-26). "Exhibition Detailing History of Lagos Bar Beach Opens Soon". Leadership News - Nigeria News, Breaking News, Politics and more (kwa en-GB). Iliwekwa mnamo 2021-08-08. 
  2. Gonzalez, David (2014-10-27). "A Festival of Ideas and Photos in Africa". Lens Blog, The New York Times (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-02-10. 
  3. Textilforum. Textilforum e.V. Arbeitsgemeinschaft f. Textil, Vereinregister. 1994. uk. 30. 
  4. "Nse Ikpe-Etim, William Coupon and Nere Teriba in latest Visual Collaborative SDG publication". The Guardian Nigeria News (kwa en-US). 2019-12-03. Iliwekwa mnamo 2023-02-10. 
  5. Adebambo, Adebimpe (2017-01-11). "Stripes, Weaves, and Colours". Omenka Online (kwa en-US). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-04-19. Iliwekwa mnamo 2023-02-10. 
  6. O'Mahony, Marle; Braddock, Sarah (1994-09-01). Textiles and New Technology 2010 (kwa Kiingereza). Princeton Archit.Press. uk. 42. ISBN 978-3-7608-8434-9.