Adelaide ni mji wa tano wa Australia na mji mkuu wa jimbo la Australia Kusini. Idadi ya wakazi ni 1,345,777 (2018).

Mji wa Adelaide
Makala hii kuhusu maeneo ya Australia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Adelaide kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.