Africa Independent Television

Africa Independent ni televisheni ya setilaiti nchini Nigeria, na ulitokana na Da'ar Communications plc, inapatikana kote Afrika, na kupitia mtandao wa setilaiti sahani huko Amerika-Kaskazini. Katika Ufalme wa Uingereza inapatikana katika Sky TV kanal 187. Baadhi ya programu yake pia inapatikana katika Ufalme wa Uingereza kupitia [| BEN Television].

Kuna kanal iliyoongezeka iitwayo AIT Movistar, ambayo hutangazwa katika Sky TV kanal 330.

Viungo vya nje hariri