Agness Gidna

Mwana panteolojia wa Kitanzania



Agness Onna Gidna ni mtaalamu wa paleontolojia na Mlezi Mkuu wa Paleontology katika Makumbusho ya Kitaifa Dar es Salaam . [1] Yeye ni mwanamke wa kwanza Mtanzania kuwa na shahada ya udaktari katika Physical Anthropology na ni mkurugenzi wa kwanza wa utafiti mwanamke watanzania katika bonde la Olduvai Gorge, ambapo amekuwa mpelelezi mkuu wa Mradi wa Olduvai Palaeoanthropology and Paleoecology (TOPPP) tangu 2017. [2]

Agness Gidna
Nchi Tanzania
Majina mengine Agness onna Gidna
Kazi yake mtaalamu wa paleontolojia na mlezi mkuu wa paleontology katika makumbusho ya kitaifa Dar es salaam

Taaluma hariri

Alihitimu kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Chuo Kikuu cha Complutense cha Madrid (Hispania), na Chuo Kikuu cha Alcala (Hispania). [3] Yeye ni mwanzilishi wa tovuti kubwa zaidi ya Kichungaji ya Neolithic katika ukanda wa jangwa la Sahara-( Luxmanda Site). Yeye ni mkurugenzi mwenza wa miradi ya utafiti ya Kimataifa kwa mfano Mradi wa Olduvai Gorge . [4]

Kama Mlezi Mkuu wa Paleontology katika Taasisi ya Taifa ya Tanzania, alisimamia na kuandaa maonyesho mawili makubwa kuhusu asili ya binadamu katika Makumbusho ya Olduvai Gorge, iliyoanzishwa na Mary Leakey, na Taasisi ya Taifa ya Tanzania. Aliendesha ziara kwa Monica Chakwera, Mke wa Rais wa Malawi.[5]

Marejeo hariri

  1. "Leakeys' research camp becomes another tourist attraction site". IPP Media, The Guardian Reporter (kwa Kiingereza). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 6 July 2019. Iliwekwa mnamo 2021-01-29.  Check date values in: |archivedate= (help)
  2. Lwoga, Noel. "Agness Gidna, TrowelBlazers". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 21 November 2020. Iliwekwa mnamo 2021-01-29.  Check date values in: |archivedate= (help)
  3. Lwoga, Noel. "Agness Gidna, TrowelBlazers". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 21 November 2020. Iliwekwa mnamo 2021-01-29.  Check date values in: |archivedate= (help)Lwoga, Noel. "Agness Gidna, TrowelBlazers". Archived from the original on 21 November 2020 Retrieved
  4. "The Olduvai Paleonthropology and Paleoecology Project Tean". Olduvai Gorge (kwa en-US). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-01-28. Iliwekwa mnamo 2021-01-29. 
  5. "Malawi First Lady Madam Monica Chakwera visits National Museum". www.ippmedia.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-01-29. 
  Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Agness Gidna kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.