Aisha Masaka

Mwanasoka wa Tanzania


Aisha Khamis Masaka (alizaliwa tarehe 10, Novemba, 2003) ni mchezaji wa kandanda au mpira wa miguu akichezea klabu ya wanawake ya Young Africans Princesi ya Tanzania na timu ya taifa ya Tanzania ya wanawake Twiga Stars.

Aisha Khamis Masaka
Maelezo binafsi
Tarehe ya kuzaliwa 10 Novemba 2003 (2003-11-10) (umri 20)
Mahala pa kuzaliwa    Singida, Tanzania
Urefu 1.80 m (5 ft 11 in)
Nafasi anayochezea Mshambuliaji
Maelezo ya klabu
Klabu ya sasa Yanga SC Princess
Namba 10
Klabu za vijana
Yanga SC Princess 2020-
Timu ya taifa
Twiga Stars

* Magoli alioshinda

Viungo vya Nje hariri

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Aisha Masaka kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.