Akhtala (kwa Kiarmenia: Ախթալա; pia Akht’ala na kwa Kirusi Nizhnyaya Akhtala) ni kijiji kilichopo katika Mkoa wa Lori huko nchini Armenia (idadi ya wakazi imekadiriwa kuwa 2,000).

Moja ya sehemu ya Akhtala.

Ina sehemu za kuvutia za ngome za monasteri za karne ya 13.

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Armenia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Akhtala kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.