Alanna Kennedy

mchezaji wa mpira wa miguu (1995-)

Alanna Stephanie Kennedy (alizaliwa 21 Januari 1995)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu,kutoka Australia ambae anacheza kama kiungo wa klabu ya Manchester City inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake (WSL) na timu ya taifa ya Australia.[2]

Kennedy mnamo 2021

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Alanna Kennedy kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.