Alaverdi (Kiarmenia: Ալավերդի, pia umepewa jina la Kirumi kama Alawerdy, Alaverdy, na Allaverdy; zamani uliitwa Manes) ni mji uliopo mjini kaskaini-mashariki mwa mkoa wa Lori huko nchini Armenia, siyo mbali na mpaka wa nchi ya Georgia. Mji huu wenye machimbo ya madini na viwanda wenye wakazi 13,225.

Moja ya sehemu za mjini hapa.

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

Viungo vya Nje hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Armenia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Alaverdi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.