Aleksanda wa Fiesole

Aleksanda wa Fiesole (Fiesole, Toscana, Italia, karne ya 8 - Bologna, Italia, 823) alikuwa askofu wa mji huo aliyeuawa kwa kutetea haki za Kanisa mbele ya mfalme wa Walombardi huko Pavia. Alipokuwa anarudi walimtosa mtoni na kumfanya afe maji [1].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 6 Juni[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.