Alex La Guma

Mwandishi wa riwaya na mwanasiasa kutoka Afrika Kusini

Alex La Guma (20 Februari 1925 - 1 Oktoba 1985) alikuwa mwandishi wa Afrika Kusini. Hasa aliandika riwaya dhidi ya ubaguzi wa rangi.

Maandishi yake hariri

  • A Walk in the Night (1962)
  • And a Threefold Cord (1964)
  • The Stone Country (1967)
  • In the Fog of the Seasons' End (1972)
  • Time of the Butcherbird (1979)

Angalia pia hariri

Marejeo hariri

  • Chapman, Michael. 2003. Southern African Literatures, University of Natal Press. ISBN 1-86914-028-1
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Alex La Guma kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.