Alfred Kastler (3 Mei 19027 Januari 1984) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Ufaransa. Hasa alichunguza nadharia ya atomu. Mwaka wa 1966 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Alfred Kastler
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Alfred Kastler kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.