Ali Attoui (amezaliwa 21 Januari 1942 huko Annaba) ni mchezaji wa soka wa kimataifa wa Algeria aliyestaafu.

Kazi hariri

Attoui alitumikia muda mwingi wa kazi yake kwenye timu ya Hamra Annaba, na muda mfupi akiwa na As Bõne,na JBAC Bõne.Pia aliiwakilisha Algeria kwenye kombe la Mataifa ya Afrika mwaka 1968.

Heshima hariri

Alikuwa moja ya wachezaji walioshinda kombe la Algeria mwaka 1972.

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ali Attoui kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.