Ali Khamis Seif (amezaliwa 8 Aprili, 1954) ni mbunge wa jimbo la Mkoani katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CUF.

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  1. "Mengi kuhusu Ali Khamis Seif". 25 Aprili 2006. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-26. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.