Ali Tarab Ali (amezaliwa 20 Julai 1947) ni Mbunge wa jimbo la Konde katika Bunge la Tanzania tangu 2005[1] Anatokea katika chama cha CUF.

Alipata shahada ya udaktari katika mada ya biokemia kutoka chuo Kikuu cha Kharkov, Urusi, mwaka wa 1984.

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  1. "Mengi kuhusu Ali Ali Tarab". 19 Julai 2006. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-05-24. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011. 

Chanzo hariri