Aloysius Balina (21 Juni, 1945 - 6 Novemba, 2012) alikuwa Askofu Mkatoliki nchini Tanzania.

Aliwekwa wakfu na Papa Yohane Paulo II mwaka 1984.

Tangu 1997 hadi kifo chake alikuwa askofu wa Jimbo la Shinyanga.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.