Alpi za Viktoria ni milima ya Australia yenye kimo cha hadi mita 1,986 juu ya usawa wa bahari. Iko katika jimbo la Viktoria.

Alpi za Viktoria

Tazama pia hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Australia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Alpi za Viktoria kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.