Altifridi, O.S.B. (jina asili: Altfrid; alifariki 15 Agosti 874) alikuwa mmonaki[1], padri, na hatimaye (851) askofu wa Hildesheim nchini Ujerumani.

Sanamu ya Mt. Altifridi, katika kanisa kuu la Essen.

Hapo alijenga kanisa kuu la jimbo na kusaidi uanzishaji wa monasteri mbalimbali [2].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 15 Agosti[3].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. Schäfer, Joachim. "Altfrid von Hildesheim", Ökumenischen Heiligenlexikon
  2. www.santiebeati.it/dettaglio/66100
  3. Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107

Marejeo hariri

  • Pothmann, Alfred, 2002: Bischof Altfrid (um 800–874). Der Hildesheimer Bischof und die Essener Frauengemeinschaft, in: Alfred Pothmann u. Reimund Haas (eds.): Christen an der Ruhr, vol. 2. Bottrop Essen: Verlag Peter Pomp. ISBN 3-89355-231-6
  • Schilp, Thomas, 2000: Altfrid oder Gerswid? Zur Gründung und den Anfängen des Frauenstifts Essen, in: Herrschaft, Bildung und Gebet. Essen: Klartext Verlag. ISBN 3-88474-907-2

Viungo vya nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.