Amerika ya Kati ni eneo upande wa kusini ya Marekani au Meksiko (taz. chini) na upande wa kaskazini ya Kolombia.

Mahali pa Amerika ya Kati duniani

Inajumisha nchi za shingo ya nchi kati ya Marekani na Kolombia pamoja na visiwa vya Karibi. Kwenye shingo hiyo kuna nchi zifuatazo:

  • Meksiko si sehemu ya shingo la nchi lakini kwa sababu za kihistoria na kiutamaduni mara nyingi huhesabiwa katika Amerika ya Kati

Pia kuna nchi za visiwani katika bahari ya Karibi:

Makala hii kuhusu maeneo ya Amerika ya Kati bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Amerika ya Kati kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.