Amin, Rashid Kassim

Rashid Kassim Amin ni mwanasiasa nchini Kenya na mwanachama wa Chama cha Wiper Democratic Movement-Kenya (WDMK). Mwaka 2017 alichaguliwa kama mbunge wa Taifa kwa kushinda eneo bunge la Wajir Mashariki kwenye kaunti ya Wajir.[1]

Marejeo hariri

  1. http://www.parliament.go.ke/the-national-assembly/mps [Wabunge wa Taifa Kenya, tovuti la Bunge la Kenya, iliangaliwa Machi 4, 2022]