Ampelio mkaapweke (alifariki Bordighera, Italia, 410 hivi) alikuwa mhunzi Mkristo wa Misri aliyeshi kwanza jangwani karibu na Thebe halafu akahamia Italia.

Tangu kale aanaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 14 Mei.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.