Analía Almeida
Analía Almeida (alizaliwa (19 Agosti 1985) ni mchezaji wa zamani wa kandanda wa Argentina.
Analía Almeida
Jinsia | mwanamke |
---|---|
Nchi ya uraia | Argentina |
Jina halisi | Analía |
Jina la familia | Almeida |
Tarehe ya Kuzaliwa | 19 Agosti 1985 |
Mahali alipozaliwa | Argentina |
Kazi | association football player |
Nafasi anayocheza kwenye timu | Forward (association football) |
Mwanachama wa timu ya michezo | San Lorenzo de Almagro, Argentina women's national association football team |
Mchezo | Mpira wa miguu |
Ameshiriki | 2008 Summer Olympics, 2007 FIFA Women's World Cup |
Kazi ya soka hariri
Alikuwa ni sehemu ya timu ya taifa ya kandanda ya wanawake ya Argentina kwenye michezo ya Olimpiki mwaka 2008. Katika ngazi ya klabu alichezea klabu ya San Lorenzo de Almagro. [1]
Viungo vya nje hariri
- FIFA.com
- http://www.lfpress.com/sports/soccer/2012/01/17/19257931.html Archived 7 Machi 2012 at the Wayback Machine.
Marejeo hariri
- ↑ "Women's Olympic Football Tournament Beijing 2008 – Argentina Squad List". FIFA. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo March 5, 2016. Iliwekwa mnamo October 22, 2012. Check date values in:
|archivedate=, |accessdate=
(help)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Analía Almeida kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |