Anastazia James Wambura

Ni mwanasaiasa kutoka Tanzania

Anastazia James Wambura ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Viti maalum vya wanawake kwa mwaka 20152020. [1]

Marejeo hariri

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Juni 2017