Angelo Simon

mkimbiaji wa masafa marefu Tanzania

Angelo Simon (alizaliwa 6 Desemba 1974) ni mkimbiaji wa riadha wa mbio ndefu kutoka Tanzania. Alishiriki katika marathon za wanaume kwenye Olimpiki ya mwaka 2000. [1]

Angelo Simon
binadamu
Jinsiamume Hariri
Jina halisiAngelo Hariri
Jina la familiaSimon Hariri
Tarehe ya Kuzaliwa6 Desemba 1974 Hariri
Kaziathletics competitor Hariri
MchezoRiadha Hariri
Ameshiriki2000 Summer Olympics Hariri

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu "Angelo Simon" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.