Aniani wa Orleans (Anianus, Aignan au Agnan; Vienne, 358 - Orleans, 453) alikuwa kwanza mkaapweke, halafu padri na hatimaye askofu wa 7 wa Orleans (Ufaransa).

Mt. Aniani katika dirisha la kioo cha rangi la kanisa lake huko Chartres.

Kadiri ya Gregori wa Tours, mji huo ulipotekwa na Wahunni wa Attila, aliuokoa kwa sala zake [1].

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 17 Novemba[2][3].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Marejeo hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.