Anita Amankwa
Anita Amankwa (alizaliwa 2 Septemba, 1989) ni mwanasoka wa kimataifa wa wanawake wa Ghana ambaye anacheza kama mshambuliaji .
Anita Amankwa
Jinsia | mwanamke |
---|---|
Nchi ya uraia | Ghana |
Jina halisi | Anita |
Tarehe ya Kuzaliwa | 2 Septemba 1989 |
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihi | Kiingereza |
Kazi | association football player |
Nafasi anayocheza kwenye timu | Forward (association football) |
Mchezo | Mpira wa miguu |
Ameshiriki | 2007 FIFA Women's World Cup |
Ni mwanachama wa timu ya taifa ya kandanda ya wanawake wa Ghana . Alikuwa sehemu ya timu kwenye Kombe la Dunia la FIFA la Wanawake mwaka 2007 Katika ngazi ya klabu anachezea klabu ya Takoradi Ladies nchini Ghana. [1]
Marejeo hariri
- ↑ "List of Players". FIFA Women's World Cup China 2007. FIFA. 2007. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo October 14, 2012. Iliwekwa mnamo 2007-09-28. Check date values in:
|archivedate=
(help)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Anita Amankwa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |