Anna Jessica Leat (alizaliwa 26 Juni 2001)[1][2] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka New Zealand ambae anacheza kama kipa wa klabu ya Aston Villa inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake ya Uingereza (WSL) na timu ya taifa ya wanawake ya New Zealand.[3]

Leat akiwa na Aston Villa mnamo 2022

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Anna Leat kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.