Annie Wersching (28 Machi 197729 Januari 2023) ni mwigizaji wa filamu na televisheni kutoka nchini Marekani.

Annie Wersching

Wersching kwenye msimu wa 7 wa 24', 2009
Amezaliwa 28 Machi 1977 (1977-03-28) (umri 47)
Kazi yake Mwigizaji
Miaka ya kazi 2002–2023
Tovuti rasmi

Anajulikana zaidi kwa kucheza kama kachero wa FBI, Renee Walker kutoka katika mfululizo wa kipindi cha televisheni maarufu kama 24.

Viungo vya Nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Annie Wersching kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.