Anthemius (takriban 42011 Julai, 472) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma Magharibi kuanzia 12 Aprili, 467 hadi kifo chake. Alimfuata Libius Severus.

Shaba inayoonyesha Kaizari Anthemius

Tazama pia hariri

  Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Roma bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Anthemius kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.