Antjie Krog

Mwandishi na msomi wa Afrika Kusini

Antjie Krog (amezaliwa 23 Oktoba 1952) ni mwandishi wa Afrika Kusini. Hasa anajulikana kwa mashairi yake dhidi ya ubaguzi wa rangi.

Antjie Krog

Maandishi yake hariri

  • Lady Anne (Mashairi, 1989)

Angalia pia hariri

Marejeo hariri

  • Chapman, Michael. 2003. Southern African Literatures, University of Natal Press. ISBN 1-86914-028-1
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Antjie Krog kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.