Antonín Dvořák (8 Septemba 1841 - 1 Mei 1904) alikuwa mtunzi wa Opera maaruufu kutoka Jamhuri ya watu wa Cheki. Yaaminika kwamba Dvořák, Smetana na Janáček ni watunzi watatu wa Ucheki, ambao walitunga tungo nyingi zenye kuhusu nchi yao.

Antonín Dvořák.

Viungo vya nje hariri

Tungo na baadhi ya rekodi zake hariri


 
WikiMedia Commons


  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Antonín Dvořák kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Orodha ya Wanamuziki wa kipindi cha Romatiki
Alkan Balakirev Beethoven Bellini Berlioz Berwald Bizet Borodin Brahms Bruckner Chopin Cui Dvořák Elgar Field Franck Glinka Grieg Liszt Mahler Mendelssohn Mussorgsky Rachmaninoff Rimsky-Korsakov Saint-Saëns Schubert Schumann Smetana Strauss Tchaikovsky Verdi Wagner Wolf Weber