Antoni wa Gerace (mkoa wa Calabria, Italia Kusini, karne ya 10Locri, Calabria, karne ya 10) alikuwa mkaapweke wa Ukristo wa Mashariki pamoja na Nikodemo wa Cirò na Yeiuni wa Gerace [1].

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Tarehe 23 Agosti ndiyo sikukuu yake[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Marejeo hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.