Antony Peter Mavunde

Antony Peter Mavunde ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Dodoma mjini kwa miaka 20152020. [1][2]

Marejeo hariri

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017
  2. https://fol.mzumbe.ac.tz/index.php/en/alumni-corner/item/52-hon-antony-peter-mavunde-mp