Aquae (Byzacena) ilikuwa dayosisi ya zamani ya Kanisa Katoliki ambayo baada ya kufa ilibaki chini ya uangalizi wa kiaskofu katika jimbo la Byzacena (jimbo la zamani la dola la Roma).[1]

Dola la Roma - Africa Proconsularis (125 AD)

Dayosisi hii pia ilikuwa mji katika dola la Roma ambapo kwa sasa eneo hilo linasadikika kuwa El Hamma kwa Tunisia ya sasa.[2]

Mpaka sasa dayosisi hii inaendeshwa chini ya uangalizi wa kiaskofu [3][4] na askofu wa sasa ni Nicolai Dubinin, askofu msaidizi wa Jimbo kuu Katoliki la Moscow[5]

Marejeo hariri

  1. Pius Bonifacius Gams, Series episcoporum Ecclesiae Catholicae, (Leipzig, 1931), p.464.
  2. Titular Episcopal See of Aquæ in Byzacena, atGCatholic.org.
  3. Aquae in Byzacena, at catholic-hierarchy.org.
  4. Titular Episcopal See of Aquæ in Byzacena, atGCatholic.org.
  5. Le Petit Episcopologe, Issue 222, Number 18,376.