Arthur Kornberg (amezaliwa 3 Machi 1918) ni daktari kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza DNA. Mwaka wa 1959, pamoja na Severo Ochoa alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Arthur Kornberg


Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Arthur Kornberg kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.