Arubaini na tatu au arobaini na tatu ni namba inayoandikwa 43 kwa tarakimu za kawaida na XLIII kwa zile za Kirumi.

Ni namba asilia inayofuata 42 na kutangulia 44.

43 ni namba tasa.

Matumizi hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Arubaini na tatu kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.