Arudhi katika fasihi ni sehemu muhimu katika elimu ya utunzi wa mashairi. Hasa arudhi inaelezea vipengele vya mashairi kama beti, idadi ya mishororo, vina na mizani.

Arudhi katika isimu inahusu vipengele vya mabadiliko ya vipambasauti, k.m. kidatu, nguvumsikiko au lahani.

Marejeo hariri

  • Massamba, David 2004, "Kamusi ya Isimu na Falsafa ya Lugha", Chuo Kikuu cha Dar es Salaam
  • Oriedo, Hannington 2007, "Istilahi za Fasihi ya Kiswahili", Nairobi: Kenya Literature Bureau
  • Wamitila, Kyallo 2003, “Kamusi ya Fasihi – Istilahi na Nadharia”, Nairobi: Focus Books

Tazama pia hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Arudhi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.