Arusi ya Bikira Maria

Arusi ya Bikira Maria ni tukio la maisha yake ambalo halisimuliwi na Biblia ya Kikristo, lakini linaeleweka kwa kuwa anatajwa mara nyingi kama mke wa Yosefu.

Arusi ya Bikira Maria (1304–1306), mchoro wa Giotto (Scrovegni Chapel).

Wachoraji wengi walitumia mada hiyo kwa kazi zao.

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu: