Ashatu Kachwamba Kijaji

(Elekezwa kutoka Ashatu Kijaji)

Ashatu Kachwamba Kijaji (amezaliwa 26 Aprili 1976) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama Cha Mapinduzi (CCM). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Kondoa kwa miaka 20152020. [1]

Marejeo hariri

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Juni 2017