Augustino Zhao Rong

Augustino Zhao Rong (Wuchuan, 1746 hivi - Chengdu, Majira ya kuchipua 1815) alikuwa padri wa China ambaye alifungwa na hatimaye kuuawa kwa ajili ya imani ya Kikristo nchini mwake.

Mtakatifu Augustino Zhao Rong.

Kabla ya kuongokea dini hiyo alikuwa askari.

Papa Yohane Paulo II alimtangaza mtakatifu tarehe 1 Oktoba 2000 pamoja na wengine 119[1].

Sikukuu yake na ya wenzake huadhimishwa tarehe 9 Julai[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.