Ayoub Azzi, (alizaliwa 14 Septemba 1989 huko Ouargla. Ni mwanasoka wa Algeria[1].Pia anacheza katika klabu ya Al-Markhiya kama beki wa kati, na amekuwa akitumika kama beki wa kulia.

Ushiriki katika klabu hariri

Katika majira ya kiangazi ya 2014,Azzi alijiunga na Klabu ya MC Alger,na kusaini mkataba wa miaka miwili katika klabu hiyo.[2]

Ushiriki kimataifa hariri

Azzi alicheza mechi yake ya kwanza akiwa na timu ya taifa ya Algeria katika mechi ya kirafiki ambayo walipoteza kwa mabao 2-0 dhidi ya Saudi Arabia mnamo tarehe 9 Mei 2018.

Heshima hariri

MC Alger

  • Supa Cup ya Algeria:2014

Marejeo hariri

  1. "Mercato : Umm Salal officialise l’arrivée d’Ayoub Azzi". 
  2. "MC Alger: Ayoub Azzi (USM Harrach) deuxième recrue estivale" (kwa French). APS. May 31, 2014. Iliwekwa mnamo August 19, 2018.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ayoub Azzi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.