Başmakçı ni mji na wilaya ya Mkoa wa Afyonkarahisar katika Kanda ya Aegean huko nchini Uturuki. Imepakana na Denizli zaidi kuliko hata mji wa wenyewe wa Afyon.

mkowa wa Başmakçı

Viungo vya Nje hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Başmakçı kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.